CosaNostra
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 382
- 139
Hahaha...
mungu mtu sio...son of Zeus
No, no mkuu, Hercules alikuwa si Mungu bali moja wa mashujaa wa kiyunani aliyeaminika kuwa na nguvu kuliko binadamu yeyote aliyepata kuishi
Soma vizuri historia ndugu...
Pia sijaandika Mungu bali nimeandika mungu mtu...mind the capital "M"
Heracles
Ahsante sana Watu8, kumbuka kuwa mashujaa wote wayunani walidhaniwa kuwa wana wa miungu au wenye uwezo wa kimiungu, siyo Hercules pekee, hata Theseus, Perseus, na wengine wengi
[h=3]Tanzania[/h] Started by hopetumaini, Today 08:21
659 steps to the top: The Guatape Rock in Colombia!
Tofali moja lina uzito wa wastani wa tani 2.5...
Kuna matofali mengine yanafika hadi tani 16...
Safi sana utakuwa umenisoma vizuriOwkey:thumbup: nimekusoma ile ya kujenga pembeni,kama hizi zinazotumika kujenga hapo bandari.