Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
to be honest maji ya ziwani sijawahi kuogelea so i dont knw how it feels ila ya kwenye mto,baharini na swimming pool ndo nimewahi itabidi siku moja nijaribu.ya ziwani nione yanafananaje.Mie mwenyewe nimetamani kwenda kuogela ila iwe ni ziwani pengine siwezi........Lol
to be honest maji ya ziwani sijawahi kuogelea so i dont knw how it feels ila ya kwenye mto,baharini na swimming pool ndo nimewahi itabidi siku moja nijaribu.ya ziwani nione yanafananaje.
Maji ya bahari ndio rahisi zaidi kwa kuogelea
Ole is very fine, thanks for asking.
Good. Lazima waonekane Mndengereko, Mr Rocky, mwallu, miss chagga, kabanga, Mtized, Heaven on Earth na wengine wengiiíi
Marahaba mwanangu. Majukumu yalikua mengi kidogo ila sijakusahau baby, unaendeleaje?
Good. Lazima waonekane Mndengereko, Mr Rocky, mwallu, miss chagga, kabanga, Mtized, Heaven on Earth na wengine wengiiíi
Nakuja baby, nilikua na wasiwasi na hilo
Nakuja baby, nilikua na wasiwasi na hilo
haya mambo ya kupotea huko kama MHz 370 sitaki bora nikatembelee mabwawa
haya mpk nikipata safari ya mwanzaYani utaenjoy sana yani yako poa sana