Picha ya leo

huu ni mto msimbazi wa zamani?
 
ndio mkuu. zamani ulikuwa mzuri kweli aisee!
Miaka inavyokwenda baadae ukimwambia mtu kulikuwa na mto atakataa kata kata.
Ni ujenzi tu nyumba, viwanda watu wa mazingira wana changamoto kubwa sana.
 
Miaka inavyokwenda baadae ukimwambia mtu kulikuwa na mto atakataa kata kata.
Ni ujenzi tu nyumba, viwanda watu wa mazingira wana changamoto kubwa sana.

hivi kuna haja ya kuweka limit sasa ya watu kuingia dar es salaam bali kwa vibali maalum?
 
Tatizo kwenye katiba kuna freedom of movement mkuu.

aisee popn imezidi dar...! unajua kuna watu wanakuja na basic wants.. wengine wanakuja for nowhere to go nothing to do..

hawa tuwasaideje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…