Picha ya leo

englibertm; Wonderful photos. Ungekuwa unaweka na captions nadhani ingeweza kuingia hata kwenye shindano la picha nzuri za asili la kwenye National Geographic Channel. Nashauri uwe unaweka caption mkuu ili tuwe tunajua kuwa picha imechukuliwa wapi, vinginevyo tutadhani/tutakuwa na mawazo ya Photoshop!
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka ni utaalam wa hali juu sana umetumika kuchukua picha nzuri kama hizi
Hongera sana kwa picha nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…