Picha ya leo

Duh its all about God.ila wazungu nao wanachangia uzuri wa dunia sijui wanasali sana ndo maana wanapewa uwezo wa kufikiri sana zaidi yetu
 
wazungu wanaakili sana hata syrria na libya na irak wamepaboresha kweli aisee.
 
ebu dokeza kidogo, unatumia site gani kupata kupata picha mbalimbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…