picha ya leo

Sipati enzi za ujana wao, inawezekana Baba ndio alimuimbisha Mama hapo hapo, safii sana maana wazazi wetu walikutana katika mazingira wezeshi sana. Kule kwetu unaambiwa na Dingi yako nenda kamsalimie Mzee fulani, ukishafika wakati wakuondoka unapewa binti wa humo ndani kwenye hio familia akusindikize....kama umeshapevuka unajua kinacholengwa hapo.

CC: Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…