picha ya leo

Nimeipenda sana inanikumbusha tukio moja, Naona hapa ni Ngorongoro Crater, nilikuwa pale mwaka jana kivumbi kilitokea baada ya Simba, bila kutegemea, kupanda juu ya bonet ya gari, sasa wale waliokuwa wanatazama toka juu ya roof ya gari, walipigwa bumbuwazi na kushindwa kukaa ili tufunge roof top. ila bahati nzuri hakukuwa na madhara kutoka kwa Simba wale.
 
Mie nimewaona mikumi animals are just great
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…