S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,907 Reaction score 166,107 May 31, 2017 #2 Tutafika kweli?
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,464 May 31, 2017 #3 Gari lenyewe LHD wakati wa kuovertake itabidi aulize tu,kama kuna gari mbele,naona kwa mwendo huu gari la kenya ameanza kuliona.naona pia wachoma mkaa wamemrahisishia maana hivyo visiki douh!
Gari lenyewe LHD wakati wa kuovertake itabidi aulize tu,kama kuna gari mbele,naona kwa mwendo huu gari la kenya ameanza kuliona.naona pia wachoma mkaa wamemrahisishia maana hivyo visiki douh!
arch67 JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 258 Reaction score 212 May 31, 2017 Thread starter #4 Naona tairi la upande wake linakalibia kupanda kisiki
Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,640 May 31, 2017 #5 Hiyo njia gari inapopita.
The Chosen One JF-Expert Member Joined May 24, 2017 Posts 3,578 Reaction score 17,013 May 31, 2017 #6 Yelewiiih bora ushuke utakufa kifo kibaya mana dereva atakuruka
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 May 31, 2017 #7 Gari layumba kweli...mmh sijui tuendako
zee Don JF-Expert Member Joined Oct 31, 2016 Posts 455 Reaction score 350 May 31, 2017 #8 Aloo Suka mbele KWA mbelee