PICHA: Wasanii ndani ya UKAWA

Ni mfano wa kuigwa..big up! Dah wolper ,aunt na wengine hao mmetisha sana.
 
Hawa ndio Wazalendo. Ukiachana na yale magumegume madomo kaya.
 
wamependeza ndani ya full khaki
 
hongereni sana sisi malofa tumetambuwa umuhimu wenu kwetu wale walioungana na wezi tuachieni kazi mwakani watatambuwa ubora wetu malofa!!
andaeni tamasha lolote malofa tupo tayari kuwachangia kwa mafaida ya TANZANIA
 
Lakini huyo Wolper nasikia siku iliyofuata alionekana ametinga kijani ktk uzinduzi wa kinachoitwa mama sema na mwanao chini ya Wema Sepetu na tapeli Steve Nyerere.Am here to be corrected
 
Itikadi za chama zinawapa upofu na unafiki...
Unafiki tu .....kila siku mnawatukana humu leo wamevaa hizo khaki za ukawa ndio wanajitambua!

Ungelipungukiwa damu ningelikuongezea ila nasikitika kuwa umepungukiwa akili nakuhurumia!!
 
Itikadi za chama zinawapa upofu na unafiki...
Unafiki tu .....kila siku mnawatukana humu leo wamevaa hizo khaki za ukawa ndio wanajitambua!

Kumbe umelitambua hilo? Kwa maana nyingine ni kwamba wamejitambua. Hayo mengine ni yako!
 
Lakini huyo Wolper nasikia siku iliyofuata alionekana ametinga kijani ktk uzinduzi wa kinachoitwa mama sema na mwanao chini ya Wema Sepetu na tapeli Steve Nyerere.Am here to be corrected

Akili za kuambiwa changanya na za kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…