Picha ushauri wa wanandoa watarajiwa

Heading haiendani na kilichomo. Alichotaka kumaanisha kabla hajamaliza kuandika jamaa akadandia.

Kuweni makini kabla ya kuolewa. My husband wengine ni sex maniac
 
Huyo husband ni noma...maisha gani hayo....
 
msaada kwa maneno yasiyosomeka "I really wanted to Finnish writing this but my husband is opening the door.he is doing it Even now.help me Dr........."
 
hebu igeuze ukurasa wa pili huwenda nikaelewa....
 
Dah!!! Inahitaji big brain ka yangu...huyo analalamika mme wake anapenda kungonoka sana so in the middle of writing hiyo barua mzeiya akaja kufanya yake ndo maana maneno ya chini hayaeleweki👍
 
am waiting...

nimekuja yani wewe kunifanya hivyo ndo nini? unikomee kama ulivyokomaa kuoa..... mwone kitumbo hicho kama naniliii ... kaone miguuu mibaya... mwone macho kama mchina mwenye njaaa..... mwoneeee niendeleee?
 
nimekuja yani wewe kunifanya hivyo ndo nini? unikomee kama ulivyokomaa kuoa..... mwone kitumbo hicho kama naniliii ... kaone miguuu mibaya... mwone macho kama mchina mwenye njaaa..... mwoneeee niendeleee?

 
angesubir mumewe aende kazini ili aweze kutuandikia vizuri ujumbe wake! maana inaonyesha hata yeye anapenda sex hadi akashindwa kutambua alphabets!
 
Husomeki mkuu na huu muandiko kama umeandika kwa miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…