erique
JF-Expert Member
- Apr 23, 2010
- 587
- 578
Nimeambatanisha picha, nimeamua kuuza hiyo gari, haina tatizo na inafanya kazi, njoo tuelewane.
Tuwasiliane 0713661616
Tuwasiliane 0713661616
Utani na hela huu.
Huenda hajui market value ya hizo. Kwa 7m unaagiza Japan na kulipia bima na ushuru.
Ilikua mwaka jana b4 July si sahizi mkuu kwa hiyo model ya kuanzia 1999