PICHA: Simu ( Huawei Ascend P6 ) inauzwa

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
248
Habari zenu wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Simu ni Huawei Ascend P6
Ram 2 GB
Back Camera 8 MP
Front Camera 5MP
Coard Core 1.5 GHz Cortex A9

Simu iko katika hali nzuri kabisa. Nakupa Na cover lake na charger original kabisa iliyokuja nayo. Earphone yake nimeziharibu aisee.

Bei 200,000

contact 0629254697 ( whatsapp)

NB: nipo Dar g/mboto
 
Nimeku PM mkuu hujanijibu
 
 
 

Mie naomba uniunganishe kwenye hilo group la NIUWEEEE bora nife tu mkuu.

Hahahaaa. Lol.
 
Mie naomba uniunganishe kwenye hilo group la NIUWEEEE bora nife tu mkuu.

Hahahaaa. Lol.
Hahahaaaaa mkuu usiseme kwa sauti. Watu watasikia
 
Bei 200,000 call me 0629254697
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…