Picha, Sekeseke la Tandahimba

Ccm bado ina mvuto vijijini...
Mtaji wa kura za ccm ni kutoka kwa wananchi wa vijijini...
 
Nchi hii sasa haitawaliki tena,maana mtawala hakai nyumbani na ma-house boy aliowaacha wanabaka na kutumia hovyo vitu vyetu kwa jina la uwaziri,waaaapi baba Mwanaasha, Kusini, Nyanda za juu kusini na Kaskazini kimenuka bado pembe 2 tu ili nchi inuke yote.
 
Kweli kusini kuna 'madaktari' wengi; maana hiyo miandiko balaa!!! Hapo wameandika kwa herufi kubwa, sasa wakiandika kwa herufi ndogo, tena kwenye daftari itakuwaje!!!!
 
kutokana na majibu aliyotoa Pinda asubuhi bungeni, bado wana muda kabla ya kukamata pesa zao, ndio kwanza hela zimesainiwa zitoke benki, halafu zipelekwe huko kwenye halmashauri zao halafu ndio waanze kupanga utaratibu wa jinsi ya kuwalipa.....

maswali rahisi...

kwa nini utaratibu usiwe umepangwa kabisa na kujua nani analipwa ngapi, ili hizo pesa zikifika leo kesho watu wapewe???
kwa nini wamechukua muda mrefu hivi kuwalipa???

nchi hii ina maswali mengi kuliko majibu
 
Reactions: FKM
nimechunguza na kuona wengi wa waandamanaji ni vijana(wapiga kura wa 2015)
 
Mtatiro kumbuka ccm hawataki kuchekewa kwa staili hii ndo watajua kulipa hizo pesa kazeni buti mpaka watoe hizo pesa na niwajuavya watakuwa wameshazila wanahaha pakuzitoa.
 
Ccm bado ina mvuto vijijini...
Mtaji wa kura za ccm ni kutoka kwa wananchi wa vijijini...

Si kwa Tandahimba mkuu!

Nadhani mgombea wa CCM katika ngazi yoyote.. Sanasana atapata kura za familia yake..
 
nimechunguza na kuona wengi wa waandamanaji ni vijana(wapiga kura wa 2015)

Wa 2010 nao hawajabadili nia zao bado...

Mbali ya jamii nzima kuichoka CCM.. Hata wavaa manguo ya kijani na kubandika picha za wagombea wa CCM,nao pia hawakipigii chama chao!

Hiyo ndiyo Tandahimba..
 
patamu hapo naona mpaka watoto wako bele maana wameona ccm niw achawi wa maisha yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…