Picha popote

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
8,288
Reaction score
18,579
Huu ni uzi ambao utakuwa na mkusanyiko wa picha ambazo nitakuwa nimepiga mimi katika maeneo mbali mbali katika mizunguko ya kila siku. Na wewe pia unaweza kushare zako pia.
Leo naanza kama ifuatavyo
 
Mzee hao ulioweka picha zao hapa na biashara zao umewapa taarifa?maaana kama wakikustukia wakakushtaki hiyo fidia yake utaweza kuhama nchi.
 
Mkuu usitupige picha hovyo wengine tumetoroka madeni tutaanza julikana tulipo
 
Unaota ila hujapata jawabu la ndoto zako, lakini unatakiwa kufanya meditation. Read more books tafuta vitabu vya akina aristotle na Critical thinking na Art.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…