sasa kuna haja gani ya kumzuia Sugu na kumtaka ahutubie karibu na mkutano wa chama kingine wkt ktk taratibu za mikutano ya vyama vya siasa hairuhusiwi??
Yakhe yameshakuwa hayo tena? Tukuuwe kisa chake ni haswa? Mimi nimekurabisha kwenye mahaba ule raha utakaa kwa shemeji mpaka lini? Bikini ya x mass umepata?
second citizen nashukuru Mungu nakula raha sina wasiwasi wa maisha vipi wewe first class citizen? Matola waogopa waungwana Ritz na chama; wakimbilia watu na kuulainisha moyo wako kisa wamevaa majoho na misalaba mbona wajitia kwenye hatari mtoto wa kiume wewe wajua historia ya hayo majoho ? hawana wake hao; chama na Ritz tumeoa; chunga sana babu naye si alikuwa anavaa majoho? Hao ni binaadam wanaviungo kamili shauri yako!
Naona huyo mkuu wa wilaya Sagalla ataiweza mbeya...jamaa anajua ku balance mambo...angekuwa Mzee Balama ile kuzongwa tu kidogo angeita wale jamaa wa vitu vyenye ncha kali wakajeruhi au kuua raia