Picha mbalimbali za miguu ya binadamu



Mkuu unawekaje picha yangu kwenye mitandao bila kupeana taarifa?

Naona unaitafuta cybercrime
 
Mleta mada tuoneshe na wa kwako basi
 
Nimeupenda mguu wa huyo jamaa hapo juu samsung galaxy inaingia bila wasi
 
Kila binadamu ana kipenzi fulani na sehemu ya mwili wa jinsia nyingine.

Inaonekana mleta mada ana "fetish" na miguu (podophiliac).
 
Ulitumia muda gani kukusanya sampuli hizi zote mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…