Bia ni ya kuacha yakikukuta ndio utajua.Vipi pia tukinywa bia zaidi?
Sahihisha signature yako mkuu.Tumejifunza
bia sio maji .......maji tunayokunywa ni neutral neither acid nor base......Vipi pia tukinywa bia zaidi?
Vipi pia tukinywa bia zaidi?
Ikifikia hatua hiyo Je figo inaweza kusafishika kwa kunywa maji mengi???View attachment 711406
Unashauriwa kunywa maji zaidi lita 2 hadi 5 kila siku ili kuepuka mawe kutengenezeka kwenye figo.
Maji ndio husafisha seli na kuondoa sumu na kemikali zinazojitengeneza mwilini kuwa mawe.
Mawe haya hutengenezeka kirahisi wasipokunywa maji ya kutosha
Chukua hatua, Okoa fedha na Maisha.