Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Huyu mama huyu
Hii familia balaa,namuona Noel kwa nyuma mme wa Adda Lowasa,kweli ikulu wataisikia tu,Mungu kishatupa Magufuli kama RAIS
UKWELI UKAWA VILAZA MNASHANGILIA HATA HAMJIELEWI,KWA TAARIFA YENU HUYO KAKA ALIEVAA MIWANI NYUMA YA MAMA LOWASA,NI MKWE WA LOWASA KAOA BINTI YA LOWASA AITWAE ADDA,nAONA FAMILIA IMEDHAMILIA KUITEKA IKULU,ASANTE MUNGU UMETUPA MAGUFULI KAMA RAISI
Alikugonga miti akaoa mtoto wa Lowasa au?
Mzee ES,
Hilo swali la Mkandara halikuhitaji jibu refu.
JKN hakuwahi kuchaguliwa kuwa mbunge. Mara zote alikuwa akijipitisha mwenyewe, watu walikuwa wanalazimishwa kumchagua kwenye vyeo alivyokuwa anapata.
Kumbuka kujichagua au kutojichagua havikuwa na uhusiano na utendaji wake wa kazi.
FD