Picha: Kutoka 'Share a Coke' hadi 'Share a Mbege'

daaah,nimesikia kiu ghafla 'east or west home is best'
 
Waweke na majina ya viungo vya mwili kama vile --- Mkono, Kichwa, Mguu n.k au hata ...:rockon:
 
Ubaguzi huu mbona ukoo wetu ulivyo mkubwa hawajauweka
 
ni aina fulaniya mitishamba huwekwa kwenye mbege kuongeza steam

kwahiyo hapo mpaka ana data ki spoti, lakini TBS ina tambua "huo mmea" mnaoweka na kiwango cha "liquor" inayokuwa ndani yake?......
hayo ndo mambo ya old is gold....
 
kwahiyo hapo mpaka ana data ki spoti, lakini TBS ina tambua "huo mmea" mnaoweka na kiwango cha "liquor" inayokuwa ndani yake?......
hayo ndo mambo ya old is gold....

mtambue wapi wakati ninyi mp[aka alete msungu ndiyo mnaona kitu
 
Mkuu hivi ni vinywaji.......?........nimegundua Dompo peke yake..........

ni vinywaji vya kidhungu mkuu....



Dompo hilo


FAT BASTARD...(Sijatukana mtu hapa) ila hilo ni jina la kimiminika cha kidhungu.




Branes Loyal Port
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…