Nimeipenda saaana!.. Hii mijamaa imejiziba macho ili isione. Bunduki zao ziko tayari kuua!.. Cheki bunduki kwenye kofia.
Tafakari chukua hatua.
Basi uolewe!Sielewi
Basi uolewe!
Sielewi
Utakuwa na ugonjwa wa UPOMWI.
(Upungufu wa Pombe Mwilini)
Mmmh!... Kuchomeka na kuchomoa? Wapi Ohio?lakini kila siku unachomolea .