Picha inajieleza

kaka umetisha..................kama ni uchoyo we ndo bingwa..............
 
ha ha ha! ila ukijua chakula ni mwisho wa siku kinakua nyaa tusingekuwa wachoyo.
 
Mie hata hiyo madagascar kubwa sana, naomba zenji tu itanitosha.
 
Me nimesema picha inajieleza wala sijasema maandishi aliyoandikwa ktk picha yanajieleza.sa naona wakina bulicheka na ufalme wao wa wagagagigikoko wameshaanza kutafsiri maanadishi halafu mwajiita magreat thinker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…