PICHA ILIYO NIHUZUNISHA SANA

Una haki useme hivyo hayaja kukuta yakikukuta hayo Majangaa ndio utajuwa Methali ya kiswahili isemwayo (MKUKI KWA NGURUWE LAKINI KWA BINADAMU NI MCHUNGU)
Kwa nini hizi picha zianze kusambaa muda huuu? Ni ukweli mchungu kuwa kilichobaki ni kutafuta huruma za wadau, wananchi na watu wengine. Hizi picha ni za amani sana, je ni kwa nini muanze kuzisambaza kipindi hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…