Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,124
Mnatafuta kuhurumiwa. Polen sana tafuteni sera
Sawa kabisa ndugu C. MusibaMnatafuta kuhurumiwa. Polen sana tafuteni sera
Una haki useme hivyo hayaja kukuta yakikukuta hayo Majangaa ndio utajuwa Methali ya kiswahili isemwayo (MKUKI KWA NGURUWE LAKINI KWA BINADAMU NI MCHUNGU)Mnatafuta kuhurumiwa. Polen sana tafuteni sera
Kwa nini hizi picha zianze kusambaa muda huuu? Ni ukweli mchungu kuwa kilichobaki ni kutafuta huruma za wadau, wananchi na watu wengine. Hizi picha ni za amani sana, je ni kwa nini muanze kuzisambaza kipindi hiki?Una haki useme hivyo hayaja kukuta yakikukuta hayo Majangaa ndio utajuwa Methali ya kiswahili isemwayo (MKUKI KWA NGURUWE LAKINI KWA BINADAMU NI MCHUNGU)
Unafikiria Kwa kutumia makalioKwa nini hizi picha zianze kusambaa muda huuu? Ni ukweli mchungu kuwa kilichobaki ni kutafuta huruma za wadau, wananchi na watu wengine. Hizi picha ni za amani sana, je ni kwa nini muanze kuzisambaza kipindi hiki?
God is there for usMungu anasababu ya uzima wetu. Tuzidi kumtumikia yeye.
uNA UHAKIKA?Unafikiria Kwa kutumia makalio