Inatufundisha baada ya dhiki faraja. Baada ya kusoma katika shule za hali ya chini kukaa kwenye mawe, kijana alijitahidi ili aene sekondari angalau akae kwenye kiti, akafanikiwa na alipo fika sekondari akasoma kwa bidii ili angalau aweza kuvaa joho ala chuo kikuu akafanikiwa kwenda chuo na alipofika chuo akawa na jitihada ili aweze kupata kazi nzuri ya ofisi ya kiyoyozi na kweli ndipo alipofikia sasa. Sawa hivi watu wanataka kuanza kwa raha kukaa kwenye madawati, kuvaa majoho kuanzia chekechea , hivyo hawana tamaa ya kusonga mbele tena kwani kila kinachopatikana huko wanakipata