TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,267 Reaction score 25,557 Oct 24, 2015 #1 Katika pitapita zangu jana kwenye mkutano wa kuhitimisha kampeni za ccm pale jangwani niliona hii; Zoom kwenye red round, lakini zoom pia uone muelekeo wa mkono wa afande. Attachments 1445718921356.jpg 69.1 KB · Views: 3,215
Katika pitapita zangu jana kwenye mkutano wa kuhitimisha kampeni za ccm pale jangwani niliona hii; Zoom kwenye red round, lakini zoom pia uone muelekeo wa mkono wa afande.
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,267 Reaction score 25,557 Oct 24, 2015 Thread starter #2 Gari ilibeba wafuasi wa ccm kuja nao kwenye mkutano wa kampeni lakini kuna bango la mgombea ubunge wa cdm ilala lilionekana kwenye gari hilo.
Gari ilibeba wafuasi wa ccm kuja nao kwenye mkutano wa kampeni lakini kuna bango la mgombea ubunge wa cdm ilala lilionekana kwenye gari hilo.
weed JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 2,457 Reaction score 3,592 Oct 24, 2015 #3 Mkuu tufafanulie..kweli picha nimeiona ila natumia simu nimeshindwa Ku zoom vizuri
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,590 Reaction score 28,761 Oct 24, 2015 #4
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,267 Reaction score 25,557 Oct 25, 2015 Thread starter #5 weed said: Mkuu tufafanulie..kweli picha nimeiona ila natumia simu nimeshindwa Ku zoom vizuri Click to expand... Gari ilibeba wafuasi wa ccm kuja nao kwenye mkutano wa kampeni lakini kuna bango la mgombea ubunge wa cdm ilala lilionekana kwenye gari hilo.
weed said: Mkuu tufafanulie..kweli picha nimeiona ila natumia simu nimeshindwa Ku zoom vizuri Click to expand... Gari ilibeba wafuasi wa ccm kuja nao kwenye mkutano wa kampeni lakini kuna bango la mgombea ubunge wa cdm ilala lilionekana kwenye gari hilo.
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,267 Reaction score 25,557 Oct 27, 2015 Thread starter #7 Mkuu mbona umeguna? JIWEGANGI said: mmmh!! Click to expand...
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,223 Oct 27, 2015 #8 acha uzushi mkuu hilo bango lipo barabarani sio kwenye gari