Kawe Alumni JF-Expert Member Joined Mar 20, 2019 Posts 8,686 Reaction score 12,013 Sep 12, 2020 #1 Kwanini mnawatesa makamanda hadi muwapandishe kwenye gari la kubebea ng'ombe ? Kwani ni lazima mjaze mkutano ? Jeshi la polisi liingilie kati hili ili kuepusha maafa yanayoweza kutokea
Kwanini mnawatesa makamanda hadi muwapandishe kwenye gari la kubebea ng'ombe ? Kwani ni lazima mjaze mkutano ? Jeshi la polisi liingilie kati hili ili kuepusha maafa yanayoweza kutokea
Jane Lowassa JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 5,009 Reaction score 9,206 Sep 12, 2020 #2 Ha ha haaa. Chadema waongo sana
Lecheminduroi JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 1,183 Reaction score 3,593 Sep 12, 2020 #3 Hahah naona umepost halafu umeingia kwenye id yako nyingine chap umejijibu...
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 38,535 Reaction score 31,199 Sep 12, 2020 #4 Pamoja na kuwasomba na Fuso hali ilikuwa mbaya
Me I and my self JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,084 Reaction score 8,855 Sep 12, 2020 #5 Hii picha ni ya wakati wa Lowassa huyu jamaa ndio anaileta hapa.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,975 Reaction score 75,059 Sep 12, 2020 #6 Kawe Alumni said: View attachment 1567002 Kwanini mnawatesa makamanda hadi muwapandishe kwenye gari la kubebea ng'ombe ? Kwani ni lazima mjaze mkutano ? Jeshi la polisi liingilie kati hili ili kuepusha maafa yanayoweza kutokea Click to expand... CCM hii mifugo mnaipeleka mnada gani?
Kawe Alumni said: View attachment 1567002 Kwanini mnawatesa makamanda hadi muwapandishe kwenye gari la kubebea ng'ombe ? Kwani ni lazima mjaze mkutano ? Jeshi la polisi liingilie kati hili ili kuepusha maafa yanayoweza kutokea Click to expand... CCM hii mifugo mnaipeleka mnada gani?
al1983 JF-Expert Member Joined Jun 6, 2009 Posts 328 Reaction score 376 Sep 12, 2020 #7 Ngoma droo, tusonge mbele
G Ghost Worker JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 1,412 Reaction score 1,868 Sep 12, 2020 #8 DOUGLAS SALLU said: CCM hii mifugo mnaipeleka mnada gani?View attachment 1567155View attachment 1567157View attachment 1567158View attachment 1567159View attachment 1567160 Click to expand... Yaani pamoja na rushwa ya show za bure bado Fuso zinahusika?
DOUGLAS SALLU said: CCM hii mifugo mnaipeleka mnada gani?View attachment 1567155View attachment 1567157View attachment 1567158View attachment 1567159View attachment 1567160 Click to expand... Yaani pamoja na rushwa ya show za bure bado Fuso zinahusika?
Kawe Alumni JF-Expert Member Joined Mar 20, 2019 Posts 8,686 Reaction score 12,013 Sep 12, 2020 Thread starter #9 Walikuwa wanaenda kumuona lissu walisombwa kilazima shiu yang said: Hii picha ni ya wakati wa Lowassa huyu jamaa ndio anaileta hapa. Click to expand...
Walikuwa wanaenda kumuona lissu walisombwa kilazima shiu yang said: Hii picha ni ya wakati wa Lowassa huyu jamaa ndio anaileta hapa. Click to expand...
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,975 Reaction score 75,059 Sep 12, 2020 #10 Ghost Worker said: Yaani pamoja na rushwa ya show za bure bado Fuso zinahusika? Click to expand... CCM imelaaniwa,damu za wahanga wao zinawalilia.
Ghost Worker said: Yaani pamoja na rushwa ya show za bure bado Fuso zinahusika? Click to expand... CCM imelaaniwa,damu za wahanga wao zinawalilia.
Mac Alpho JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 13,999 Reaction score 27,975 Sep 12, 2020 #11 shiu yang said: Hii picha ni ya wakati wa Lowassa huyu jamaa ndio anaileta hapa. Click to expand... Kwahiyo wakati wa Lowassa haikuwa chademaš¤? Hata ivyo hiyo picha Ni ya hivi karibuni.
shiu yang said: Hii picha ni ya wakati wa Lowassa huyu jamaa ndio anaileta hapa. Click to expand... Kwahiyo wakati wa Lowassa haikuwa chademaš¤? Hata ivyo hiyo picha Ni ya hivi karibuni.
Exogenous Factor JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 1,413 Reaction score 2,358 Sep 12, 2020 #12 Ccm bhana