Wakuu! leo ndo kampeni zimefungwa igunga tumeona namna wananchi wa igunga walivyo pata mwamko, leo balozi wa ccm kajiunga na chadema na kufichua maovu wa lio kuwa waki ya fanya akiwa ccm ndugu zangu kweli viongozi wa ccm siyo wa zuri na hawakitakii mema wananchi wao, video ninyo namna alivyo ongea kwa uchungu sana cha ajabu wao leo walipangiwa viwanja vya barafu lakini hawakujitokeza na kuingia mitini nitawaletea picha zao walivyo kua wengi.
Kesho msikimbie jukwaa hili!
Kesho msikimbie jukwaa hili!
Kesho msikimbie jukwaa hili!
Kesho msikimbie jukwaa hili!
Kesho msikimbie jukwaa hili!
Kesho msikimbie jukwaa hili!
Slaa alisema hampokei makapi, vipi tena? Hamna manpower?
wewe zombe mpaka sasa tumewakamata vibaya, hamna pakutokea,ccm ni wakati wenu wa kukaa pembeni.Kesho msikimbie jukwaa hili!
Kesho msikimbie jukwaa hili!