Kwanini KIGOMA ?
Jamaa ana safari ndefu sana huyu...
Zito kigoma, Makufuli Mwanza, hapo aliyefunga kazi ni Lowasa aliyefungia mbali na kwao
Haya nima ZUZU mkuu yasikusumbueKila siku mimi nauliza hivi huko CDM kuna mwenye akili timamu kweli???ZZK ni mgombea ubunge Kigoma Mjini wewe ulitaka afungie kampeni Rombo???Mgombea Urais ACT Wazalendo Mama Anna Mghwira yeye kafungia kampeni zake Singida.Uliza tena kwanini Singida.Chuki,Panic,kuweweseka na wasiwasi na akili ndogo zitawaua
Ulitaka aende Moshi?Kwanini KIGOMA ?
Kila siku mimi nauliza hivi huko CDM kuna mwenye akili timamu kweli???ZZK ni mgombea ubunge Kigoma Mjini wewe ulitaka afungie kampeni Rombo???Mgombea Urais ACT Wazalendo Mama Anna Mghwira yeye kafungia kampeni zake Singida.Uliza tena kwanini Singida.Chuki,Panic,kuweweseka na wasiwasi na akili ndogo zitawaua