Picha: ACT Wazalendo Walivyofunga Kampeni za Uchaguzi 2015 Kigoma Leo...

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

Z-3.jpg

October 24 2015 ndio ilikua siku ya mwisho ya vyama vya siasa Tanzania kupiga kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu ambao tarehe yake ni October 25 ambapo baada ya kukuonyesha CCM na UKAWA walivyofunga kampeni kwenye post iliyopita, post hii ni ya ACT Wazalendo ambao wamefunga kampeni zao Kigoma.

Zitto Kabwe ndio anaonekana kwenye picha kwenye ufungaji wa kampeni za ACT Kigoma, vilevile Zitto anagombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini na mama Anna Mghwira anagombea Urais.

source Kandili Yetu​
 
Kwanini KIGOMA ?

Kila siku mimi nauliza hivi huko CDM kuna mwenye akili timamu kweli???ZZK ni mgombea ubunge Kigoma Mjini wewe ulitaka afungie kampeni Rombo???Mgombea Urais ACT Wazalendo Mama Anna Mghwira yeye kafungia kampeni zake Singida.Uliza tena kwanini Singida.Chuki,Panic,kuweweseka na wasiwasi na akili ndogo zitawaua
 
Haya nima ZUZU mkuu yasikusumbue
 
Mungu rahisisha mioyo ya wanakigoma.. Zitto ni mtu muhimu kwenye siasa za Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Kila siku mimi nauliza hivi huko CDM kuna mwenye akili timamu kweli???ZZK ni mgombea ubunge Kigoma Mjini wewe ulitaka afungie kampeni Rombo???Mgombea Urais ACT Wazalendo Mama Anna Mghwira yeye kafungia kampeni zake Singida.Uliza tena kwanini Singida.Chuki,Panic,kuweweseka na wasiwasi na akili ndogo zitawaua

Umeielewa post wewe pimbi?
 
Kadiri tunavyoelekea huko mbele ndipo naona siasa za ukanda zikishika kasi. Kipindi hiki ni rasharasha tu hizi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom