figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,487
Kuna watu wamezaliwa kuwa na vipaji, leo unapowaona watu wanacheza mpira kwa kiwango cha juu jua kwamba hicho ni kipaji ambacho walipewa. Kuna wengine wana vipaji vya kuandika simulizi, mtu anaandika simulizi na mwisho wa siku inakuliza, hicho ni kipaji.
Wengine ni waigizaji, kila anapoigiza, haijalishi ni masikini, tajiri, mgonjwa au mtu wa aina gani, bado ataigiza kama inavyotakiwa kuwa. Mungu alipomuumba binadamu, kitu cha kwanza akampa kipaji, una kipaji, labda hukijui, labda hakuna mtu aliyekwambia una kipaji gani ila Mungu hakuumba binadamu bila kipaji.
Leo, tunakuletea picha 20 zilizochorwa na Adrian Sommeling, zimechorwa kwa ufundi mkubwa kwa kutumia mfumo wa 3D. Ukiziangalia, si picha za kawaida, utagundua kwamba mtu aliyetumia muda wake kuzichora, alitumia uwezo mkubwa mno.
Chanzo: Digital artist photoshops son into surreal scenarios
Compelling composites: Adrian Sommeling’s genius photographic creations