Photoprinter Inauzwa...

pachanya

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2012
Posts
2,132
Reaction score
2,395
Photoprinter aina ya UNOMAT P128S Inauzwa...
Mahali ilipo Dar es salaam
Bei; 100,000.
Pm kwa mawasiliano.
 
Mkuu ongezea ongezea maelezo kidogo kama vile kazi ambazo zinaonekana na zinazoweza kufanywa na hiyo machine.

Bila kusahau picha mbili/tatu


Asante
 
Achaga Matangazo Ya Kipuuzi!!! HakikishaTanagazo Lina Mawasiliano Ya Simu
 
Mkuu ongezea ongezea maelezo kidogo kama vile kazi ambazo zinaonekana na zinazoweza kufanywa na hiyo machine.

Bila kusahau picha mbili/tatu


Asante
Hiki ni kifaa cha kusafishia picha mkuu ambacho ni portable.Ukishapiga picha kwa digital camera unachomeka hii photoprinter unasafisha picha yako.Hii inasafisha picha mpaka ya ukubwa wa 4 kwa 6.
Mambo ya kwenda kkoo yamepitwa siku hizi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…