Photogenic beach Party 2017(10000/=)

Kwahiyo unataka Wateja mkuu?

hakunaga anaekataa wateja.. ila mimi kuwa mteja wa kupigwa picha ndio sina passion.. nina vijana wa kutosha.. kama una insta cheki photo studio mabibo hostel, pia nina workshop ya kuprint tshirt cheki insta inaitwa tshirt garage mabibo hostel, na pia nina studio ya kutengeneza soundtrack za bongo movies na matangazo ya redio.. so dili zote hizo nicheki... bila kusahau kuna mobile kibanda umiza pia.. tunaonesha mpira any location tutakapoalikwa.. dstv yangu na screen na projector inatembea kufata hela popote kwenye watu wengi tukialikwa tuje onesha mpira

online tv inaanza january 1 2018. na studio ya kuandaa vipindi vya tv vya watu binafsi itaanza kazi same day

kama unahitaji proffessional photographer wa event yako.. njoo pm
 
Hili ni bonge la idea, mnao wapiga picha wa kutosha kupiga mamia ya watu tutakao kuja?
Maphotographer wapo wengi na professional ila bado tunapokea.. kikubwa uwezo wa kupiga picha nzuri
 
ukipigwa picha mbaya dai pesa yakoo.. picha ya mmoja mmoja makundi .. zote itakua ni kwaajili ya maphotogenious.
 
uko vzuri mkuu nitext 0711971272 nipate no yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…