Phone & computer tricks

Ni tumie njia gani ili ni ipate App kama hizi?

Chukua hyo ni latest uta unzip kwa kutumia app kama z archiever au yeyote then uta instal hizo apk separatery utakuw ni user wa prime

Jibu lako ni hili ukiwa na shida ya app ya kulipia nenda kwa browser yako ya simu hapa na recomend ucbrowser utaenda kwenye icon ya google pakishafunguka search mfano nova launcher prime (cracked/mod/paid/full version) apk zikifunguka utapakuwa sionagi maana ya kujaza ma app aptoide sjui blackmart kwenye simu yangu wakati google napata fasta maisha yanaendelea.ahsanteh
 

Attachments

Uzi huu hauna faida kama mambo yenyewe mpka ugoogle na kupewa majibu yale yale ya Google badala ya kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…