Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,082
Mkuu Mchukia Fisadis:
Twaweza kupata "profile" ya P Rwegasira?
Maana wengine tuna familia zinaishi jimboni hilo na tunapiga kampeni "remotely" kwa mgombea anayefaa
Sina mengi zaidi ya kufahamu kwamba alikuwa ni mpishi ikulu ndogo pale DodomaHuyu ana chuana na aliyemng'oa Mh. Waziri wa nchi TANO (EAC) nipeni CV ya huyu mama, tafadhali.
Huyu ana chuana na aliyemng'oa Mh. Waziri wa nchi TANO (EAC) nipeni CV ya huyu mama, tafadhali.
Baba Enock nimejaliwa kupata maelezo kidogo kutoka kwenye kipeperushi hiki.
Namfahamu kama mfanyabiashara hapo Bukoba mjini akiendesha biashara za Music na matangazo, kucharge batteries, transport na ni fundi wa electronics.
Pia amewahi ku attend chuo cha electronics and computer maintenance USA kwa miaka miwili.
MF asante kwa picha za uzinduzi huu,lakini na wewe ni mchokozi ukatuwekea na nyumba zilizoweka picha ya mgombea wa chama tawala.Maisha bora kwa kila mTz lol.Wakuu jana Chadema jimbo la Nkenge wamezindua kampeini za kutafuta kuchaguliwa kuwa wawakilishi wa jimbo zilizofanyika eneo la Ishozi na Mgombea wa Udiwani pamoja na mgombea wa ubunge Mr Phocas Rwegasira walipojinadi kwa wananchi.
MF asante kwa picha za uzinduzi huu,lakini na wewe ni mchokozi ukatuwekea na nyumba zilizoweka picha ya mgombea wa chama tawala.Maisha bora kwa kila mTz lol.
Sijajua sasa u yudabulyuuti na ubunge wapi kwa wapi?Form IV - Shule ya Wasichana Rugambwa
Course ya Upishi (??)
Course ya Upishi (wa Viongozi) (??)
Muhudumu Katika Ndege (za Viongozi) (??)
UwT - Operative (todate) : Sina uhakika Aliingiaje kwenye National Security "Cycle"