Ooh! nafahamu huyu jamaa bwana ana misimamo yake ambayo haiyumbi na anasimama kwenye haki...ni mwaka wetu 2011 ambapo ndo alifukuzwa chuo lakini ilikuwa sababu ya wengine wapate haki yao..na haki yetu kweli ilipatikana japo jamaa walimtosa chuo sijui yupo wapi kwa sasa na anafanya nini?....
Mwakubinga tuko nae ACT
Hapa tunamzungumzia mwakibinga wa CDM na si mwakibunga wa ACT.
Hapa tunamzungumzia mwakibinga wa CDM na si mwakibunga wa ACT.