Hello! Kuna mtu anahitaji kununua pharmacy. Kama unauza famasi yako au unafahamu pharmacy ambayo inauzwa/mmiliki anaweza kuiuza kwa sasa na ipo Dar es salaam basi naomba tuwasiliane kwa namba 0659528724 au 0784082847.
Natanguliza shukrani kwa niaba yake.