Pharmacy iko established tayari na ilikuwa inaoperate japo kwa sasa imefungwa, si kwamba tunauza na jengo hapana ninatafuta mtu atakayeweza kupaendesha maana kila kitu kiko sawa kama mtu anapaafiki ni kununua na kufungua nadhani pia nilisema kwa mwenye kuhitaji maelezo ya kina na si kwa utani basi tuwasiliane nje ya hapa kwani itakuwa vyema