Enhe ikawaje?
alikimbia zaidi mpaka akampita punda.Nalog off
ni wewe nini?
hapana sio mimi ila jibu liko wazi kama jamaa alivyoomba na yeye awekwe wazi ili aingizwe mafuta ili aweze kumkimbiza Punda wake! Nalog off
Hivi niko wapi? jukwaa la jokes?!
POPOBAWA.