Petrol station inauzwa

Petrol station inauzwa

allymohamed80

Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
23
Reaction score
4
petrol station mpya inauzwa iko njombe ina ukubwa wa sq.meter 3200 ina pump 5nia tenki 5 bei maelewano 0652766510 na zipo nyengine dar
 
petrol station mpya inauzwa iko njombe ina ukubwa wa sq.meter 3200 ina pump 5nia tenki 5 bei maelewano 0652766510 na zipo nyengine dar

Mkuu weka bei na picha ili atakayekupigia awe ana idea ya hicho mnachuzungumza wabongo bana ubabaishaji
 
Huyu jamaa yupo serious au la!!?bei dollar $400mil!Then kaandika if you are intrested call the owner!
Ngoja nitafute namba za maywhether jr,messi,cr7, na wengneo wa calibre hyo but kina harry kane,rahem sterling watasubir sn
 
Hahaaaa hapo hata Yaya Toure hanunui. Umenichekesha sana mkuu
 
Mkuu umekosea hiyo bei au? $ 400mils sio fedha ya kitoto,ni karibu na utajiri wote wa mengi au ulikuwa una maanisha 400mils Tsh?

hayuko sirias ht kdogo,,na km anajarib kuwa bac hajui hyo dola 400 ni kias gan
 
Mleta uzi huu hebu muulize tena huyo tajiri anauzaje hyo petrol station maana $ milion 400 hiyo sijui kama uko sawa?
 
hamna ubabaishaji hapo.bei ni dola $400millioni if you are just call

Whaaat USD 400 million? Are you serious? Imefikia huku? (unajua ukiconvert into TZS ni ngapi?)

USD X Exchange rate = TZS equivalent

400,000,000 X 1800 = 720,000,000,000

Unamaanisha hii kiru inauzwa TZS billion 720? Kama ni kweli basi mama Tiba hakukosea kusema 10 million ni ya mboga tu
 
mpeni namba za Wazee wa escrow na kale kabibi(Jembe la jk)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom