Petition to save Moyes Job

rubaman

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
4,983
Reaction score
3,084
Kutokana na tetesi zilizosambaa katika media Britain juu ya uwezekano wa kufukuzwa kwa "THE GREATEST CHOSEN ONE" natumia muda huu kuomba wapenzi wote wa soka waliofurahishwa kwa kazi aliyofanya Moyes katika kipindi cha miezi kama 9 msaini Petition tuipeleke OLD TRAFFORD ili kuokoa kibarua cha MOYES. Ni jambo la busara kumtetea huyu kocha kijana kama Kikwete kwa maendeleo ya Soka la Premier League sababu tangu awe kocha ligi imechezeshwa bila upendeleo wala mikwaruzano kama enzi za RED NOSE SAF.
Ahsanteni.
 

Dah kumbe mpo mliokuwa mnafurahi ehe?

Mchukueni basi kama alikuwa anawafurahisha.

Dah ila kayapatia maisha .... kachukua 5 M Pounds
 


huyo hata Abajalo hatumtaki.
 
Dah kumbe mpo mliokuwa mnafurahi ehe?

Mchukueni basi kama alikuwa anawafurahisha.

Dah ila kayapatia maisha .... kachukua 5 M Pounds

Moyes kafanya mambo makubwa ambayo hata Fergie mwenyewe hakuweza kuyafanya. Fikiria record zilizovunjwa na Moyes, manager kama huyu lazima apendwe hata na wapenzi wa timu pinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…