[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shida ni 'inferiority complex', tupaze sauti, Susia Azam, Susia Cecafa challenge cup!
Mkuu sisusii,,, nitaendelea kuwaunga mkono mpaka amani ipatikane...waLibya wapo katika bara letu na wao pia ni waafrika wenzetu tunawapenda sana na tutaendelea kuwapenda....israel inavyowanyanyasa wapalestina na kuwauwa kama wanyama, mali waislamu wanauliwa kila kukicha lakini sijaona mtu akianzisha mada na kukemea.
Ili ipatikate amani Nchini Libya njia rahisi ni hiyo ya "MWALIKO" pia twendelee kununua bidhaa za Azam
Umeniwah mkuu....hii tabia ya kususasusa sio nzurKususa susa ni tabia za kike..hao uko Libya walitumwa na nani? Kupenda penda kitonga... Waelimishe ndugu zako wasipende mtelemko...
Umeniwah mkuu....hii tabia ya kususasusa sio nzur
kuna wengine wanaume wasengenyaji tu haswa ukiwa umewashinda point,james delicious hatii mguuHii tabia most of them wanawake wanayo
kwanini waondolewe Libya ?wao ni main sponsor,it's high time waombe libya iondolewe,kwa nini waji associate na watu kama hao? si wawaite hata zambia au malawi?
huyo ni mnafiki tu , hana lolote, tz inapngoza kwa double stds,Hivi hayo yanafanywa na serikali? Umewahi kuyasikia wakati wa gadafi? Hivi haya yanayotokea nchini mwetu ya kukutwa mili ya watu kwenye viroba mmewahi kutoa tamko kama hili au hayo hayaitaji kupigiwa kelele?
nafikiri chanzo ni wale waliomuondoa gadafi madarakani , kwa hiyo ndio tuwasusie kma tiunawez usa , france , etcTususie Azam tu, hakuna namna, unless Libya iondolewe
Mbona bongo ilimsadia obote ?Hawana lolote, waliwai jitia kimbelembele kumsaidia Idi amin, kwani nini kiliwakuta???
Mechi itakuwa kali balaa.
una wazo zuri lakini ukakasi unaanzia hapo uanpohusisha waisrael na waarabu nahisi una hidden agenda, tofauti na kupinga yanayoendelea huko libyaView attachment 641128 Wote najua manajua kinachoendelea huko Libya,sasa hao wapuuzi ni mojawapo ya teams mwalikwakwenye michezo ya cecafa cup inayoanza kenya next week
Wdhamini wakuu ni Azam tv,
Nawaomba ndugu zangu tupaze sauti hao libya waondolewe kama haiwezekani tususie bidhaa za azam na cecafa yao kabisa
Kwa wale ambao wanabisha mbona waarabu hawataki kushirikiana kimichezona israel hadi leo?nasema hivi maana najua kuna watakaosema wachezaji hayawahusu,
Juzi tu mcheza judo wa Iran kaachia apigwe kwa maelekezo ya kocha baada ya kugundua next opponent ni mu israel
Imagine hayo majaamaa ya kiarabu yanatia team nairobi halafu yanafunga goal huku yakishangaliwa,yatatushangaa yenyewe
LETS BOYCOT AZAM TV AND CECAFA
Halafu tulisahau kuwasusia na kuwatenga South Africa. Nao walikuwa wanaua na kuchoma moto wageni.