PETER PINDA vs WILBROAD SLAA

ras mkweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
280
Reaction score
105
Kwa mfano, 2015, unaingia kwenye chumba cha kupigia kura za Rais, unakutana na waheshimiwa hawa wawili. Kura yako utaipeleka kwa nani?
A: PETER PINDA
B: WILBROAD SLAA




 
Unalinganisha maji na mafuta!!? CCM siyo wajinga kiasi hicho!!
 
Kwa mfano, 2015, unaingia kwenye chumba cha kupigia kura za Rais, unakutana na waheshimiwa hawa wawili. Kura yako utaipeleka kwa nani?
A: PETER PINDA
B: WILBROAD SLAA







Mbona huwa mnajifanya mnawajua watu kuliko wenyewe wanavyojitambulisha?
Mwenyewe Pinda (waziri mkuu) huwa anajitambulihsa kwa Jina la Mizengo Kayanza Pinda sasa wewe unakuja na Peter Pinda, wakati hakuna hata siku moja Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliyewahi kutumia jina la Peter mahali popote pale alipojitambulisha, mijitu mingine sijui ikoje gharrrrr!
 
Mimi nasema hivi: ccm hata wakabahatika kumpata malaika agombee kupitia chama chao atachafuka tu. Tatizo ni mfumo walionao sasa hivi wa kifisadi. Angalia Tibaijuka maskini ya Mungu alikuwa msafi lakini akaambia huwa huku tunaishi namna hii, kaingia then kwasababu sio nature karopoko kueleza kwamba kweli nilipewa, sote tunajua kilichompata while walio engineer wanawekwa kiporo. YAANI KINAPIKWA JIKONI KINAWEKWA SUMU BAAADAYE KINAPELEKWA SEBULENI MLALAJI WA MWISHO AMBAO NDIO WAATHIRIKA WA SUMU NDIYE ANAYEAMBIWA ONDOKA UMETUEKEA SUMU. HOW COME asiulizwe wa jikoni??????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
slogan ya magamba iliwashinda. mangula kaja na speed ya miezi mitatu atawashughulikia mafisadi sasa hivi zaidi ya miaka 2 mafisadi ndani ya ccm wanazidi kuongezeka day2day.

WATANZANIA WENZANGU NAOMBA TUITAKIE ccm MAPUZIKO NA KIFO CHEMA. HAKUNA CHA LOWASSA (MUASISI WA UFISADI) WALA PINDA, WALA SITA, WALA MEMBE, WALA JANUARI, WALA WASIRA WALA YEYOTE ANAYEPEPERUSHA BENDERA YA KIJANI WOTE NI KIZAZI CHA PANYA.
 
Kwa mfano, 2015, unaingia kwenye chumba cha kupigia kura za Rais, unakutana na waheshimiwa hawa wawili. Kura yako utaipeleka kwa nani?
A: PETER PINDA
B: WILBROAD SLAA




Wewe ukiambiwa uchague aliyepinda na aliyenyooka utachagua nini. Halafu usipende kulinganisha Tembo na Sungura. W.Slaa hapaswi kulinganishwa na Pinda sababu siyo saizi yake.
 
kwanza kabla ya yote tueleze ulichozingatia ulipochukua uamuzi wa kumweka pinda kwenye A na Dr Slaa kwenye B .
 
slaa hafai kuwa rais kwani akiwa rais kila akiona mke wa mtu atapora
 
Kwa saaa sisemi ila.naomba.niwakute hao kwenye chumba cha kupigia kura.
 
Dr Slaa ameshatabiriwa kuanguka toka jukwaa la fuso la Chadema na shingo kutitia 2015.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…