Umedumaa ndo mana huwezi kufikri vyema, Jakaya atavunja tena baraza la mawaziri sababu wala rushwa na wanakaa kwenye kiyoyozi bila kufanya kazi.Kawaambia ni kheri wangalikuwa wazururaji kama yeye kuliko ni wao kubaki ofsn.
Pinda anadhalilisha wakulima wa Tanzania waonekane ni watu masikini na wanyonge na wanaodharaulika mbele ya jamii.
Kwa kauli kama hizo za kubeza wakulima anategemea kijana wa sasa atamani kuwa mkulima?
Kazi Ya Kulima Ni Moja Ya Kazi Inayo Dhalaurika Kuliko Kazi Yeyote Hapa Tanzania Hata Mkulu Aliwahi Sema Kama Huwezi Siasa KALIME
HIVI WAKULIMA TUKIGOMA KUWAUZIA MAZAO YETU MTAKULA WAPI?