P Peter Kilawe Member Joined Oct 22, 2012 Posts 12 Reaction score 1 Oct 27, 2012 #1 hongera serekali kama hii tarifa ya kurejesha nyumba zilizouzwa zirejeshwe basi hapo nijambo la maana ila inabidi waliouza nao waazibiwe kwani saivi serekali wanapata tena hasara kuzinunua tena upya
hongera serekali kama hii tarifa ya kurejesha nyumba zilizouzwa zirejeshwe basi hapo nijambo la maana ila inabidi waliouza nao waazibiwe kwani saivi serekali wanapata tena hasara kuzinunua tena upya
K Kassim Awadh JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 884 Reaction score 187 Oct 27, 2012 #2 Unasema?
Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,187 Oct 27, 2012 #3 Taarifa hiyo imetolewa na nani? Lini?
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Oct 27, 2012 #4 Huyu kaona uzi wa 2006 hapa jamvini kuhusu kauli ya DHAIFU kwamba nyumba zirudishwe kadhani kwamba ni kauli ya hivi karibuni.
Huyu kaona uzi wa 2006 hapa jamvini kuhusu kauli ya DHAIFU kwamba nyumba zirudishwe kadhani kwamba ni kauli ya hivi karibuni.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Oct 27, 2012 #5 https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nyumba-za-serikali-zilizouzwa-zirejeshwe.html