hizo pesa mkurugenzi wa tasaf kaamriwa azitoe ili kurubuni wapiga kura.
tasaf huwa wana utaratibu mzuri wa kutafuta miradi ambayo wahusika wanaweza kuifanya na kuwawezesha. mf kuna walipewa kuku wa kufuga, ng'ombe wa maziwa, nguruwe nk na ikawanufaisha wahusika.
huu utaratibu wa kugawa hela mkononi yawezekana wametumika kugawa rushwa kwa niaba ya ccm.
mtumishi wa umma hata uwe na uwezo vipi ukifuata think tank ya ccm utaingizwa kwenye matope tu na kuonekana na wewe hamnazo kabisa.