M Mic209 New Member Joined Aug 20, 2026 Posts 2 Reaction score 0 Aug 20, 2026 #1 Walimu katika Halmashauri Ya Morogoro DC.Intake ya mwezi wa 2/2026 hatujapewa pesa za kujikimu mpaka sasa.Tumeandikishwa barua na kila tukifatilia hatupati majibu sahihi ya pesa hizo
Walimu katika Halmashauri Ya Morogoro DC.Intake ya mwezi wa 2/2026 hatujapewa pesa za kujikimu mpaka sasa.Tumeandikishwa barua na kila tukifatilia hatupati majibu sahihi ya pesa hizo
Huruma siyo malezi JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 2,150 Reaction score 4,718 Aug 20, 2026 #2 Nakumbuka tuliambiwa tukaze mkanda kwamba uwanja umeinama
Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,735 Reaction score 7,010 Aug 20, 2026 #3 Usipojiongeza, Tambua ndio umeanza milio hadi kustaafu.