Pesa ya Urithi balaaaaaaaaa

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,273
Reaction score
89,324
Jamaa alipewa hela ya urithi milion 100. Akaenda porini akachimba shimo chini ya mti akazifukia zile hela kisha akatoa camera akapiga picha ule mti ili kuweka kumbukumbu.
Alipofika home akatoa camera ili aangalie ile pcha,kuiangalia ile pcha akaona juu ya mti kuna mtu anachekelea.

Ingekua wewe ungefanyeje?
 
Naenda fasta kuchukua hee kulala maskini kuamka tajiri haha

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Haina haja ya kukimbia sana, tulia mwangalie vizuri sana huyo ni nani, mfuate taratibu
 
Kuchimbia hela ilikuwa ni enzi za mababu zetu na si sasa
 
yerewi nauwa mtu kwa kweli pesa yangu naenda kutoa matangazo ya hali ya hatari
 
Ndio umeliwa hivyo coz yule mtu alishuka mda ule akachukua akasepa utampata wapi? Pengine huko juu ya mti alikuwa akisali mungu ampe pesa nazo zikaletwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…