Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
Taadari[emoji777]Pesa zimefunika hadi utu..mtu yuko tayari kuchinja binadamu mwenzie kama kuku kisa pesa..
Mtu akiamka asubuhi anawaza pesa tu... Barabarani watu kibao wanahangaika kwa mamia wanapishana.. Wauza matunda, vyakula, wengine nguo.. Madereva.. Yaani kila mmoja na kazi yake lakini wanachokitafuta kimoja tu.. PESA.
.
Pesa imefanya hadi mapenzi ya kweli yatoweke.. Sasa hv ni pesa tu..maslahi
Pesa inafanya mzee amwamkie kijana bila kupenda..
Pesa imefanya baadhi ya watu wageuke miungu watu..wanaabudiwa wakionwa watu wanatetemeka.
Leo huna ata sh kumi na njaa imekubana akija mtu na kukuwekea burungutu mbele hata akisema umlambe makalio utamlamba tu..
Mungu alishaliona hilo ndo maana akaweka taadari mapema.. Watu ingefika sasa qanaabudu pesa nayeye wangemsahau kabisa
ukiwa na pesa utaanzisha dini na ukisema we Mungu watu watakuamini
nakudediketia wimbo wa Madee ft Tunda man - Pesa
Watakuabudu kabisaukiwa na pesa utaanzisha dini na ukisema we Mungu watu watakuamini
nakudediketia wimbo wa Madee ft Tunda man - Pesa
Viumbe dhaifu hufa mapema kuvipisha viumbe imara viendelee kuishi, whoever is fit enough survives.Pesa zimefunika hadi utu..mtu yuko tayari kuchinja binadamu mwenzie kama kuku kisa pesa..
Mtu akiamka asubuhi anawaza pesa tu... Barabarani watu kibao wanahangaika kwa mamia wanapishana.. Wauza matunda, vyakula, wengine nguo.. Madereva.. Yaani kila mmoja na kazi yake lakini wanachokitafuta kimoja tu.. PESA.
.
Pesa imefanya hadi mapenzi ya kweli yatoweke.. Sasa hv ni pesa tu..maslahi
Pesa inafanya mzee amwamkie kijana bila kupenda..
Pesa imefanya baadhi ya watu wageuke miungu watu..wanaabudiwa wakionwa watu wanatetemeka.
Leo huna ata sh kumi na njaa imekubana akija mtu na kukuwekea burungutu mbele hata akisema umlambe makalio utamlamba tu..
Mungu alishaliona hilo ndo maana akaweka taadari mapema.. Watu ingefika sasa qanaabudu pesa nayeye wangemsahau kabisa
Viumbe dhaifu hufa mapema kuvipisha viumbe imara viendelee kuishi, whoever is fit enough survives.
*surviveOnly strong can survival
Ndugu yako wa karibu na wa kwanza ni pesa;kataa ukubali ndio hivyo.
Nife kwa mil kumi?Hata ww nikipewa kuanzia milioni 10 nakukata kichwa vizuri sana tena fasta
Biblia inasema fedha huleta jawabu la mambo yote.
Siku ukiipata utaamini mfalme suleimani alikuwa na hekima kuliko anko magu na Don Trump
Mhubiri 10:19
[19]Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko,
Na divai huyafurahisha maisha; Na fedha huleta jawabu la mambo yote.
Love sema utashindwa kununua uhai tu ila furaha amani unaweza kupata maana sasa hivi kitu kinachoninyima furaha hapa ni umaskini nikishakuwa na pesa si nimeshaipata?Ukiwa na hela uhai, Amani na Furaha ndivyo vitakavyoshindikana kununulika na pesa zako tu