Pesa au show kali

Haka kademu huko chuo sijui kama hata kanasoma manake!
 
Wewe mbona una nyege na huwa hauposti ngono peke yake?

Hazijanibanaa ukiona hivo. Siku zikinibanaa hapa nitapost nyuzi 100 kama Diva leo kutwa nyege zina mnyegesha insta
 
Mapenzi yalikufa tangu wanawake walivyoanza kuzithaminisha tupu zao na fedha...
 
Hivi vitu ni kama mapacha😉;Ukitaka vinoge zaidi fanya kuwa navyo vyote
 

Hivi hiyo avatar yako ndio jinsi ulivyo au..........
 
boobookitty hiyo inategemea na maisha na mazingira halisi ya mwanamke. Mfano, kuna wanawake ambao tayari wanapesa zao au kama hawana wanajua kuzitafuta sasa wao wanachohitaji ni mapenzi tuu na si kingine. Sasa kuna wale wa aina yako ambao bado wanasoma au hawana uwezo wa kujitafutia pesa na bado wanataka mambo makubwa na kuweka status mjini. Kwa mtu wa namna hii usishangae kuwa kama wewe hapo namaanisha kuwa na wanaume zaidi ya wawili .
 
Last edited by a moderator:
hehehe money by all means


binafsi cangalii pesa kwani naweza zitafuta ........wale wanaoangalia pesa huwa hawajui kuzitafuta that means papuchi zao ndo vitega uchumi vyao
uko dunia hii hii? maana nawatafuta sana watu kama ww alafu siwapati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…