INAUZWA Perfume nzuri kwa bei ya kawaida

lookmoney

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
417
Reaction score
165



Chagua namba ya perfume itakayokupendeza upate kwa gharama nafuuu kabisa.

1. Mousuf Perfume.Ni Perfume nzuri hasa kwa wanaume ina harufu iliyokolea lakini haikeri utapata kwa 32,000 tsh tu.

2. Oud 24 perfume.Perfume hii ni inapendeza kutumiwa na jinisia zote ni nzuri saana na inakaa saana kwenye nguo nayo ni 32,000 tsh tu.

3. Sultan al shabab.Perfume ya kiume inayokaa kwenye nguo si chini ya saa 42 inanukia vizuri mnoo,hii inakwenda kwa 32,000tsh.

4. Najdia perfume spary.Hupendwa zaidi na wanaume ila hata wadada na wamama inafaa kabisa maana inaharufu nzuri yenye kupendeza nayo ni 32,000tsh tu.

5. Oud mood lattafa design.Chaguo boraa saana kwa wanawake kwa Harufu yake tami ya oud iliyotulia ,hii ni 35,000tsh tu.

6. Rams lattafa.Ni perfume yenye harufu mardidad kwa jinsia zote inayodumu kwenye nguo kwa muda mrefu,utapata lwa 32,000tsh.

Usafiri ni bure kwa wakazi wa Dar es Salaam kama ukichukua kuanzia 2 na kuendelea.

Mikoani tunatuma kwa gharama nafuu.

Tunauza jumla na rejareja, tupate 0744551655 kwa maelezo zaidi au fika dukani kwetu magomeni mikumi mtaa wa ifunda kuona bidhaa zetu mbali mbali.

NB; Perfume zote hizo zinadumu kwa muda mrefu kwenye nguo,Hakika hutojutia kujipatia yako.
 
DON’T PLAN TO MISS THIS,MAAANA ZIPO CHACHEE MNO

Unapata perfume long lasting,Bodyspray kalii,Air freshner pamoja na Udi saafi inakufanya unukie wewe pamoja na mazingira yako.

Kama hutaki full set.

Perfume@32,000tsh
Bodyspray@7,000tsh
Airfeshner@7,000tsh
Oud@20,000tsh

.








Tupigie kwa 0744551655, au text whatsapp kwa 0782579015 Au fika Dukani kwetu magomeni mikumi kwa maelezo na kuona bidhaa zetu zaidi.
 
Reactions: 911
DIRHAM GOLD & AHLAAMAK PERFUME.

Tukiwa tunaadhimisha siku ya wanawake duniani, Leo nimewaletea perfume bora kabisa kwa wakina mama (Dirham gold na ahlaamak).




• Ebu nambie we unapenda ipi kati ya hizo mbili.!?? Dirham yenye harufu tulivu au Ahlaamak yenye harufu kali.!!??
•Utapata kwa 27,000tsh kila moja, Text, call or whatssaap 0744551655 kwa maelezo zaidi au fika dukani kwetu magomeni mikumi kupata chaguo lako.
 
Leo tena nimewachangulia perfume mbili bora OUD MOOD ambayo hupendwa saana na wanawake na SULTAN AL SHABAAB inayopendwa na wanaume.



Sultan al shabab ni perfume ya kiume yenye mchanganyiko wa zabibu na majani ya violet, Harufu yake ni kalii ila haikeri.

•Zote harufu zake zinadumu kwenye nguo si chini ya saa 8.




 
DAAREJ POUR HOMME RASSASI.




Perfume hii toka kampuni ya RASASI imeletwa makhsusi kwa ajili ya wanaume na baadhi ya wanawake wanaopenda perfume za kiume.

Harufu flani hivi ya kiboss, iliyopoa,isiyo kera na yenye kukaaa mda mrefu kwenye nguo.

>Sio maarufu kama perfume nyingine ila nakuhakikishia ukitumia mara moja inawezekana kabisa ukasahau kuhusu perfume nyingine zooote ulizowahi tumia.

Hutakiwi kukosa hiii nipigie 0744551655 au njoo uchukue dukani kwetu magomeni mikumi kwa 55,000tsh .

> You’ll never be disappointed, I promise you.
 
SAMA DUBAI AU DAR AL SHABAB PERFUME.!??

Unapenda kunukiaje leo.!?? Nimewaletea perfume mbili nzuri, Sama dubai kwa ajili ya wanawake na Dar al shabaab kwa wanaume.

Sama dubai ina harufu iliyopoa na haikeri ni chaguo bora saana kwa wanawake, Dar al shabaab hii inakuwa na body-spray yenye harufu iliyokolea haipoi wala haiboi yaani unanukia vizuri kuanzia umejipulizia mpaka unapobadilisha nguo.

Zote hizo unatizipata kwa 32,000tsh ( Usafiri bure kwa wakazi wa mikoani na badhi ya maneo kwa DSM)

Fika dukani kwetu magomeni mikumi au text,call or whatssapp 0744551655 kuweka oder yako.




 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwan al shabab maanake vita.!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…